Mambbo yalikuwa hivi ni kikundi kutoka China wakionyesha moja ya michezo ya utamaduni wao.
Mkurugenzi wa Habari Assah Mwambene (kulia) akikaribishwa na Balozi wa China Lu Youqing katika tamasha la tamaduni kutoka China.
Udumu urafiki wa Tanzania na China
waalikwa wakifuatilia burudani ya Tamasha la Utamaduni.
Mkurugenzi wa Michezo Leonard Thadeo (kulia) akibadilishana mawazo na Mkurugenzi wa Habari Assah Mwambene katika hafla ya tamasha la utamaduni wa china.
Katibu Mkuu wa wizara ya Nishati na Madini Eliakim Maswi akiongea katika hafla hiyo Sept.24,2012 jijini Dar.
uhodari wa kucheza na mipira.
Aina ya michezo wa utamaaduni wa Kichina.
Nimeipenda hii ! wamependeza na mwavazi yao hasa kichwani.
Kikundi cha sanaa za utamaduni cka Tnzania wakiimba nyimbo ya ushirikiano kati ti ya TZ na China kwa kichina katika tamasha.
Utamaduni wetu kikundi kutoka Tanzania wakionyesha umahiri wao jana usiku.
0 comments:
Post a Comment