Mhe Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akizungumza na wananchi wa Ngaramtoni baada ya kuwasili mkoani Arusha tarehe 19 Novemba, 2026.
Mhe Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akizungumza na wananchi wa Ngaramtoni baada ya kuwasili mkoani Arusha tarehe 19 Novemba, 2026.Shamrashamra za mapokezi ya Mhe Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, baada ya kuwasili Ngaramtoni Jijini Arusha tarehe 19 Novemba, 2026.
Shamrashamra za mapokezi ya Mhe Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, baada ya kuwasili Ngaramtoni Jijini Arusha tarehe 19 Novemba, 2026.
Shamrashamra za mapokezi ya Mhe Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, baada ya kuwasili Ngaramtoni Jijini Arusha tarehe 19 Novemba, 2026.
Mhe Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akisalimiana na viongozi mbalimbali baada ya kuwasili katika uwanja wa Ndege wa Arusha, uliopo Kisongo mkoani Arusha baada ya kuhitimisha Ziara yake ya Kitaifa, Mpigi nchini Uganda, tarehe 19 Novemba, 2026.
Mhe Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akisalimiana na Mhe. Amos Makalla Mkuu wa Mkoa wa Arusha baada ya kuwasili katika uwanja wa Ndege wa Arusha, uliopo Kisongo mkoani Arusha baada ya kuhitimisha Ziara yake ya Kitaifa, Mpigi nchini Uganda, tarehe 19 Novemba, 2026.


















0 comments:
Post a Comment