Nafasi Ya Matangazo

September 25, 2012

Mbunge wa zamani wa jimbo la Arusha mjini,Godbless Lema(katikati) akiwa na wakili msomi katika kesi iliyomvua ubunge, Alute Mughai (kushoto) na kulia kwake ni Mbunge wa jimbo la Singida Mashariki ambaye pia ni wakili katika kesi ya kupinga kuvuliwa madaraka yake ya ubunge wote wakiwa katika msiba wa baba yake na Lissu aliyefariki hivi kaibuni jijini Dar es salaam na kisha kuzikwa nyumbani kwao Singida.
Posted by MROKI On Tuesday, September 25, 2012 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo