Nafasi Ya Matangazo

November 15, 2026

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Deogratius Ndejembi, ametembelea Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Lindi, Sokoine, kukagua maendeleo ya hospitali hiyo pamoja na utoaji wa huduma, akiwa ziarani mkoani Lindi.
 
Serikali ya Awamu ya Sita chini ya uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imeendelea kuwekeza katika miundombinu, vifaa tiba na watumishi wa afya ili wananchi wapate huduma bora za matibabu karibu na makazi yao.
 






Posted by MROKI On Sunday, November 15, 2026 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo