Nafasi Ya Matangazo

September 25, 2012

 Godbless Lema ambaye alikuwa Mbunge wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) jimbo la Arusha Mjini akihutubia umati wa wanachama wa chama hicho katika viwanja vya Kilombero-karibu na Hospitali ya Levolosi-Jijini Arusha.
Godbless Lema akiwa jukwaani na Mbunge wa Arumeru Joshua Nassari
 Joshua Nassari (Mb) akihutubia
Ally Bananga,kada aliyejitoa CCM Arusha

Wananchi wa jiji la Arusha wakiwasikiliza viongozi wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kwa umakini , katika viwanja vya Kilombero-karibu na hospitali ya Levolosi-Jijini Arusha.

Wananchi wa jiji la Arusha wakifuatilia sera za viongozi wao wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) katika viwanja vya Kilombero-karibu na hospitali ya Levolosi-Jijini Arusha.
Wananchi wa jiji la Arusha wakiwasikiliza viongozi wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA),akiwemo aliekuwa Mbunge wa Arusha Mjini Mhe.Godbless Lema, katika viwanja vya Kilombero-karibu na hospitali ya Levolosi-Jijini Arusha.
Wananchi wa jiji la Arusha wakimsikiliza Mbunge wa Arumeru Mashariki Mhe. Joshua Nassary katika viwanja vya Kilombero-karibu na hospitali ya Levolosi-Jijini Arusha,akisisitiza kuwa Mwenge wa Uhuru jimboni kwake ni MARUFUKU.SOURCE: http://www.wazalendo25.blogspot.com/
Posted by MROKI On Tuesday, September 25, 2012 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo