Afisa Mtendaji Mkuu (CEO) wa Kampuni ya RootsYR Ulric Chateris akizungumza na wageni mbalimbali waalikwa katika hafla ya siku ya kuzaliwa Kampuni hiyo yenye kufanya shughuli za Media na Matangazo iliyotimiza miaka 6 hivi karibuni.

Afisa Mtendaji Mkuu (CEO) wa Kampuni ya RootsYR, Ulric Chateris (kushoto) akiteta jambo na Mkurugenzi wa Masoko TBL Kushilla Thomas katika sherehe ya miaka 6 ya siku ya kuzaliwa RootsYR.
Baadhi ya wafanyakazi na wadau wengine wa RootsYR katika hafla hiyo.
Mkurugenzi Mkuu wa RootsYR Denise Rosiello (katikati) akiwa na designer maarufu Ally Rehmtulla na mdau kutoka TBL Bw. Arthur.
Kiota kipya cha Kili Bar nayo ilizinduliwa rasmi na kampuni hiyo ya RootsYR katika usiku wa shehere hizo.
Wadau wengine muhimu wa RootsYR nao walikuwepo bila kukosa.





0 comments:
Post a Comment