Padre Kalaso (kati) wa Kanisa la Familia Takatifu Parokia ya Ipuli,
Tabora akishuhudia Bibi Veronica Stima akimvalisha mumewe Allen Munene pete wakati wakifunga ndoa takatifu iliyofanyikia kanisani hapo na
kufuatiwa na sherehe iliyofayika katika ukumbi wa chuo cha Utumishi wa
Umma Uhazili, Tabora.
Wakiwa katika nyuso za tabasamu zito ni Bwana na Bibi Allen Munene.
Wapendanao wakikata keki kuonyesha umoja na upendo kati yao.
KUONA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA
0 comments:
Post a Comment