Nafasi Ya Matangazo

August 16, 2012

Mratibu wa Shindano la Redd's Miss Ilala 2012,Gadner G. Habash akizungumza na waandishi wa Habari (hawapo pichani) kwenye ukumbi wa Nyumbani Lounge mchana huu wakati wa kuwatambulisha warembo watakaoshiriki kwenye fainali ya Redd's Miss Ilala 2012.washindi watafanikiwa kuingia moja kwa moja kwenye fainali ya Redd's Miss Tanzania 2012.Wengine Pichani toka Kulia ni Mratibu Mwenza wa Shindano hilo,Juma Mabakila,Cylivia Mashuda na Neema Mbula ambao ni walimu wa warembo hao.
Baadhi ya warembo watakaoshiriki Shindano la Redd's Miss Ilala wakiwa kwenye kikao hicho.
Warembo katika picha ya Pamoja.
Posted by MROKI On Thursday, August 16, 2012 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo