Nafasi Ya Matangazo

August 22, 2012


Kada wa Chama cha Mapinduzi CCM, Mwanaamina Haji Farouk (kulia) akipokea fomu kutoka kwa Karani Mafunda Ramadhan Sudi,  ya kuomba kugombea nafasi ya Mwenyekiti wa UVCCM Taifa.Hafla hiyo ilifanyika kwenye Ofisi za Jumuia hiyo za Mkoa wa Kusini Pemba Mjini Chake chake Kisiwani Pemba hapo jana, ambapo shamra shamra za uchukuaji wa fomu zimeanza.
Posted by MROKI On Wednesday, August 22, 2012 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo