Nafasi Ya Matangazo

August 22, 2012

 Mwakilishi wa Tanzania kwenye fainali Miss East Africa Belgium yatakayofanyika tarehe 1 September 2012, Miss Juliana PierreMuunge mkono mwakilishi wetu huyu kwenye Fainali husika kwa kuongeza idadi ya kufahamika kwake.

Juliana anaomba uingie kwenye ukurasa wake wa (Face book) na kubonyeza kitufe cha “like” kwa anuani hii: https://www.facebook.com/ JulianaPierreFinalisteMissEastAfricaBelgium2012
Tangaza Vipaji Vyetu,Tangaza Utalii Wetu, Tangaza Tanzania.
Posted by MROKI On Wednesday, August 22, 2012 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo