Mkuu wa Wilaya ya Newala mkoani Mtwara, Christopher Magala akijibu maswali mbalimbali kutoka kwa Karani wa Sensa ili kujaza dodoso za idadi ya watu katika familia yake wakati Karani huyo alipofika Nyumbani kwake jana katika zoezi la Senza ya watu na makazi iliyoanza jana nchini kote.
0 comments:
Post a Comment