
Uhondo wa katuni hizi na nyingine kibao za kuelimisha, kuburudisha kwa kuunga unga mbavu kama si kuzivunja vunja, kusikitisha na kustaajabisha ni katika mtandao wa http://nathanmpangala.blogspot.com/ hii ni kwamaana ya kuwa jamaa sasa amehamia mtaa wa saba kwa kuzingatia bango hili...
0 comments:
Post a Comment