
Mkurugenzi wa Bendi ya Extra Bongo, Ally Chocky akiimba katika moja ya shoo walizoanza kuzifanya Finland wakati wa Tamasha la First Afrika

Chocky akicheza sambamba na wanamuziki wake

Kiongozi wa wacheza shoo, Super Nyamwela akicheza sambamba na wacheza shoo wenzake Finland

Wacheza shoo wa Bendi ya Extra Bongo wakicheza wakati wa tamasha hilo nchini Finland

Kiongozi wa Wacheza shoo wa Bendi ya Extra Bongo, Super Nyamwela akiwaongoza wazungu kucheza baada ya kuvutiwa na staili za wacheza shoo wa bendi hiyo.

Wacheza shoo wa Extra Bongo wakicheza huku wakiwa kwenye vazi la asili ya Kitanzani nchini Finland kwenye Tamasha la Fist Afrika
0 comments:
Post a Comment