Ofisa Mahusiano na Matukio wa kampuni ya simu za mikononi ya Airtel,Dangio Kaniki (kulia) akimkabidhi Mfanyabiashara na mkazi wa Arusha ,Steven Chapille mfano wa hundi yenye thamani ya shilingi milioni kumi mara baada ya kuibuka mshini kwenye promosheni ya NANI MKALI iliyofanyika hivi karibuni jijini Dar es Salaam. Katikati ni Alice Paulicen kutoka Airtel akishuhudia Makabidhiano hayo yaliyofanyika leo Makao makuu ya ofisi za kampuni ya Airtel,Morocco jijini Dar Es Salaam.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment