Nafasi Ya Matangazo

June 20, 2012

 Eneo la Stendi Kuu ya Mabasi ya mikoani Mjini Iringa linavyoonekana mchana wa leo
 Moja wa Mtaa wa Mjini Iringa. Licha ya Mkoa huu kuwa ni Mkoa wa Kihistoria na Utalii kutokana na Watu maarufu na Machifu wa Kihehe kushiriki kikamilifu katika Vita vya kale vya Majimaji akiwapo Chief Mkwawa lakini bado mji huu unaonekana kuwa nyuma kidogo katika makazi hasa mjini ambako sasa ndio kuna jengwa.
 Nyumba mbalimbali zinazotumika kama makazi na sehemu za Biashara Mkoani Iringa zikionekana kwa juu
Majengo ya kisasa
Mji bado unaendelea kujengwa kwa kasi hivi sasa kama inavyoonekana
Posted by MROKI On Wednesday, June 20, 2012 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo