
Mgeni rasmi Kassim Majaliwa akimlisha keki Mwenyekiti wa Simba Sc,Alhaji Aden Rage huku wageni waalikwa meza kuu wakishuhudia tukio hilo.

Keki yenyewe ilivyokuwa imenoga.

Nianze nani kumlisha jamaani....! Mwenyekiiiiitiiiiiiiiii.

Mgeni rasmi,Naibu Waziri wa Nchi,Ofis ya Waziri Mkuu,Tawala za Mikoa na serikali za Mitaa (TAMISEMI),Kassim Majaliwa akikata keki huku sehemu ya meza kuu ikishuhudia tukio hilo adhimu na ka kihistoria.

Mgeni rasmi,Naibu Waziri wa Nchi,Ofis ya Waziri Mkuu,tawala za Mikoa na serikali za Mitaa (TAMISEMI),Kassim Majaliwa,akibofya kitupe kuzindua rasmi kipindi cha Simba TV kitakachokuwa kinarushwa na kituo cha cha runinga cha Clouds,hafla hiyo imefanyika kwenye jengo la Quality Center kwenye ukumbi wa Cleopatra,jijini Dar,Kulia ni Mwenyekiti Msaidizi Simba,Geofrey Nyange 'Kaburu'Mh Alhaj Kapuya na shoto ni Mwenyekiti wa Simba Sc Alhaj Ismail Aden Rage,na Afisa habari wa Simba, Ezekiel Kamwaga

Makofi tafadhali..!Mgeni rasmi,Naibu Waziri wa Nchi,Ofis ya Waziri Mkuu,tawala za Mikoa na serikali za Mitaa (TAMISEMI),Kassim Majaliwa,akipiga makofi mara baada ya kuzindua kipindi cha Simba TV kitakachokuwa kinarushwa na kituo cha cha runinga cha Clouds,hafla hiyo imefanyika kwenye jengo la Quality Center kwenye ukumbi wa Cleopatra,jijini Dar,Kulia ni Mwenyekiti Msaidizi Simba,Geofrey Nyange 'Kaburu'Mh Alhaj Kapuya na shoto ni Mwenyekiti wa Simba Sc Alhaj Ismail Aden Rage,na Afisa habari wa Simba, Ezekiel Kamwaga kwa pamoja urwakipiga makofi kufurahia uzinduzi huo uliofana kwa kiasi kikubwa.

Kulikuwepo na ufunguaji wa shampeni kabla ya kukatwa keki kama hivi pichani.

Mdau akifurahia kujinyakulia jezi ya mchezaji mahiri wa Simba SC.Haruna Moshi a.k.a Boban.

Mzee wa Fullshangwe,ambaye pia ni mshabiki mkubwa wa Simba Sc.John Bukuku aliibuka na jezi yake kama uonavyo pichani.

Mmoja wa wachezaji wa Simba SC,Felix Sunzu akimkabidhi kwa heshima jezi yake mgeni rasmi,Mh Kassim Majaliwa

Kocha wa Simba Sc, Milovan Cirkovic akicheers na meza kuu

Wadau wakijadiliana na kubadilshana mawazo.

Mwenyekiti Msaidizi Simba SC Geofrey Nyange 'Kaburu' akizungumza wakati wa kuwakaribisha wageni waalikwa mbalimbali waliofika kwenye hafla hiyo usiku wa kuamkia leo.

Wadau na washabiki wa Simba wakiburudika na vinywaji taratiibu.

Mchezaji Nyota wa zamani wa Simba SC,Zamoyoni Mogella a.k.a Golden Boy akizungumza machache kwenye hafla hiyo usiku wa kuamkia leo.

Wadau mbalimbali waliohudhuria

Wadau mbalimbali waliohudhuria.

Baadhi ya Wadau mbalimbali wakiwemo na wachezaji wa timu ya Simba waliohudhuria

Wageni waalikwa na Wadau mbalimbali waliohudhuria

Wadau wakifuatilia jambo ukumbini wakati hafla ikiendelea

Baadhi ya wageni waalikwa wakiwemo wachezaji wa Simba ndani ya hafla hiyo

Mgeni rasmi ,Naibu Waziri wa Nchi,Ofis ya Waziri Mkuu,tawala za Mikoa na serikali za Mitaa (TAMISEMI),Kassim Majaliwa akizungumza mbele ya wachezaji wakiwemo na wa zamani,viongozi,wadau na wageni waalikwa mbalimbali waliofika kwenye hafla ya uzinduzi wa kipindi cha Simba TV kitakachokuwa kinarushwa na kituo cha cha runinga cha Clouds,hafla hiyo imefanyika kwenye jingo la Quality Center kwenye ukumbi wa Cleopatra,jijini Dar,Kulia ni Mwenyekiti wa timu ya Simba,Mh Alhaj Ismail Aden Rage,Msaidizi wake Geofrey Nyange 'Kaburu' pamoja na Mdhamini kutoka TBL,Bw.George Kavishe.

Baadhi ya Waandishi wa habari walioshuhudia uzinduzi huo uliofana kwa kiasi kikubwa.

Cheerssss....!

Vijana kutoka THT,akiwemo Barnaba,Amin na wengineo walinosha vilivyo uzinduzi huo.

Wageni waalikwa mbalimbali wakifuatilia tukio hilo la kihistoria kwa timu ya Simba SC.




0 comments:
Post a Comment