Jioni hii mjini Iringa, manzari ya hali ya hewa ya kaubaridi kanako ambatana na mvua za hapa na pale.
mapavha watatu wa Blog Mroki Mroki "Father Kidevu Blog" (kushoto), Ahmad Michuzi "Jiachie Blog" (katikati) na John Bukuku "Full Shangwe Blog" wakiwa mjini Iringa tayari kwa kuripoti matukio ya wiki ya maji kitaifa.
Njiani kulikuwa na mambo kama haya pale Ilula, tulipata mahindi fresh toka shamba
Stand Kuu y mjini Iringa









0 comments:
Post a Comment