Kutoka kushoto ni Imani Lwinga, Nandi Mwiyombela, Ahmad Michuzi, Teddy Mapunda, John Bukuku na Mroki Mroki wakipiga picha ya pamoja wakati wa safari yao hii leo ya kuelekea Mkoani Iringa katika wiki ya maadhimisho ya Maji 2012 ambayo kitaifa inafanyikia mkoani Iringa na kudhaminiwa na Kampuni ya Bia ya Serengeti ambayo wanafanyia kazi Teddy, Nandi na Imani huku Mroki, Bukuku na MichuziJr ni timu ya mapacha wa 3 kutoka Blogs ambao hufanya kazi za SBL. Picha hii ilipigwa Mikumi mkoani Morogoro.
March 15, 2012
Subscribe to:
Post Comments (Atom)





0 comments:
Post a Comment