Nafasi Ya Matangazo

March 09, 2012

Mwanamuziki Tlou Cleopas Monyepae maarufu kama DJ Cleo Kutoka nchini Afrika ya Kusini akiwasili kwenye uwanja wa ndege wa Mwalimu J.K.Nyerere usiku huu, tayari kwa onyesho lake litakalofanyika kwenye viwanja vya Posta Kijitonyama jijini Dar es salaam siku ya Machi 10, 2012 siku ya jumamosi, Mwanamuziki huyo kwa sasa anatamba na wimbo wake wa FACEBOOK na ameongozana na wanamuziki wenzake wawili ambapo FULLSHANGWEBLOG imeshuhudia kuwasilia kwake.
Mwanamuziki Tlou Cleopas Monyepae maarufu kama DJ Cleo Kutoka nchini Afrikaya Kusini akisalimiana na Mkurugenzi wa Times FM Radio Rehure Nyaulawa ambaye ndiye mwenyeji wake wakati alipokuwa akipmokea kwenye uwanja wa ndege wa J.K.Nyerere.
Mwanamuziki Tlou Cleopas Monyepae maarufu kama DJ Cleo Kutoka nchini Afrika ya Kusini katikati akiongozan na wanamuziki wenzake kwenda kupanda gari tayari kuelekea hoteli ya Protea ambako ndiko walikofikia.
Posted by MROKI On Friday, March 09, 2012 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo