Nafasi Ya Matangazo

February 28, 2012

Allan Lucky Komba ambaye pia ni Rais wa wanafunzi a.k.a SKONGA akila kiapo cha ndoa iliyofungwa mwishoni mwa wiki hii katika ukumbi wa The Stalion jijini Dar es Salaam.Kushoto ni Best man wa Bw. Harusi,Banana Zorro na kulia ni Mai waifu wake Allan Lucky,Bi. Haika Samweli.
Bibi Harusi Haika Samweli akila kiapo cha ndoa.
Mdau Allan Lucky Komba na Mai waifu wake Haika Samweli wakipokea vyeti vyao vya ndoa toka kwa afisa wa Serikali.
Maharusi wakikata Cake.
Maharusi wakiwa meza kuu.
Ndugu, jamaa na marafiki waliohudhuria ibada ya ndoa hiyo.
Posted by MROKI On Tuesday, February 28, 2012 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo