Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Sazi Salula akiwa katika Picha ya Pamoja na wajumbe wa Mkutano wa Mamlaka ya Ziwa Tanganyika unaofanyika katika Hotel ya Lake Tanganyika Mkoani Kigoma
Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Sazi Salula akifungua Mkutano wa Tano wa Wataalamu wa Mamlaka ya Ziwa Tanganyika unaoshirikisha Nchi Nne za Tanzania,Zambia,Congo na Burund. mkutano huo unfanyika kwenye Hotel ya Tanganyika Mkoani Kigoma .




0 comments:
Post a Comment