Nafasi Ya Matangazo

February 28, 2012

Mwenyekiti wa Bodi ya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya,Deogratius Ntunkamazina akisisitiza umuhimu wa kuutumia Mfuko huo kwa manufaa ya Watanzania wote kwenye Mkutano wa wadau mkoani Lindi.
Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko huo,Emanuel Humba akieleza mambo mbalimbali ya Mfuko huo kwa wadau wake.
Mwenyekiti wa NHIF,Deogratius Ntunkamazina akimkabidhi kadi ya CHF mmoja wa waendesha pikipiki ambao wamejiunga na Mfuko huo.
Wadau wakifuatilia maelezo ya Mwenyekiti wa Bodi ya NHIF.
Mkurugenzi Mkuu wa NHIF, Emanuel Humba akipokea maelezo kwa viongozi wa hospitali ya Mkoa wa Lindi ya Sokoine.
Mwenyekiti wa Bodi ya NHIF akiwa katika picha ya pamoja na kikundi cha waendesha pikipiki.
Posted by MROKI On Tuesday, February 28, 2012 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo