Nafasi Ya Matangazo

February 24, 2012

Jeneza la mwili wa marehemu mama Esther Badi ambaye n imama mzazi wa aliyekuwa katibu mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa jamii, Brandina Nyoni, na Mpigapicha wa Magazeti ya This Day na Kulikoni, John Badi akizungumza katika ibada maalum ya kuaga mwili wa marehemu iliyofanyika leo kwenye kanisa kilutheri la Azani Front jijini Dar es salaam leo, mwili wa marehemu umesafirishwa kwenda mkoani Iringa na utazikwa katika kijiji cha Ilembula huko Njombe. likiwa kaiwa kanisani wakati wa Ibada maalum ya kuombea mwili wa marehemu leo.
Bi. Blandina Nyoni Mtoto wa Marehemu mama Esther Badi akitoa historia ya marehemu wakati wa ibada hiyo leo.
Waombolezaji mbalimbali wakiwa mkatika ibada hiyo.
Ndugu na jamaa wakiwa katika ibada hiyo leo.
Waziri wa Afya na Ustawi wa jamii Dk. Hadji Mponda kulia akiwa pamoja na Paniel Lyimo katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu wamehudhuria ibada hiyo pia.

Mwili wa marehemu ukiandaliwa tayari kwa waombolezaji kuanza kutoa heshima zao za mwisho.
Paniel Lyimo katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (kulia)akitoa heshima zake za mwisho mbele ya jeneza la mwili wa marehemu Mama Esther Badi.
Waombolezaji wakielekea kutoa heshima zao za mwisho.
Posted by MROKI On Friday, February 24, 2012 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo