Rasi Jakaya Kikwete na ameanza leo ziara ya siku mbili Nchini Boswana, Pichani Rais Kikwete akiwa na Mwenyeji Rais wa Bostwana Luteni generali Seretse Khama Ian Khama wakiangalia ngoma maarufu ya ya Makhirikhiri kutoka kwa kikundi cha Ngoma cha nchini hu
Rais Jakaya Kikwete akiwa nchini humo pia atahudhuria sherehe za miaka 50 ya Chama Tawala cha Botswana cha Democratic Party. Rais Kikwete akipokelewa na mwenyeji wake Rais Luteni Generali Seretse Khama Ian Khama na kuongozana nae kuelekea Ikulu.
Rais Jakaya Kikwete akikagua gwaride la heshima alililoandaliwa na mwenyeji wake mara baada ya kuwasili nchini hum oleo.
Wananchi wa Botswana wakishangilia
Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na wananchi wa Bosswana.










0 comments:
Post a Comment