Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na viongozi wa Kampuni ya Kimataifa ya BG Group, Ofisini kwake jijini Dar es salam Januari 10, 2012. Kutoka kushoto ni Afisa Mtendaji Mkuu na Mkurugenzi Mkuu, Martin Houston,Makamu wa Rais wa Kanda ya Afrika, na Asia Kusini, Sam Iskander na Meneja wa Tanzania, Matt Wilks.
Posted by MROKI
On Tuesday, January 10, 2012
No comments
0 comments:
Post a Comment