Programa Mwandamizi wa Kompyuta toka Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA), Bw. Ulrick Mkenda (kulia) akionesha mashine wakati wa Uzinduzi wa huduma ya kulipia Ada za mitihani kupitia mashine za Selcom Gaming LTD, Dar es salaam janaziitwazo selcom paypoints. kwa wahitimu wa kujitegemea 9kidato cha nne CSEE na Maarifa QT kushoto ni Meneja Masoko wa Kampuni hiyo Bw. Juma Mgori.
Posted by MROKI
On Tuesday, January 10, 2012
1 comment
Jamani, Tangazo la selcom pay point linashangaza. Je, tulizoea kuwa unatafuta kituo cha mtihani kwanza ndipo kuja kulipa. Hivi sasa itakuwa tofauti? watu wanalipa kwanza baadae ndio wanakuja kupata vituo vya mitihani ama inakuwaje? sijaelewa vizuri nisaidieni nina nataka kuwalipiwa watoto wangu
ReplyDelete