Nafasi Ya Matangazo

January 09, 2012

Mkuu wa Moa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadick (kulia) akipokea msaada wa mabati 2000 kutoka kwa makampuni ya M.M.I Steel Ltd za jijini Dar es Salaam zilizokabidhiwa na Meneja Uhusiano na Mawasiliano wa M.M.I STEEL LTD, Aboubakar y Mlawa hiileo katika eneo la Mabwe Pande nje kidogo ya jiji. 

Mabati hayo yenye thamani ya shilingi Milioni 26.5 yatagawiwa kwa waathirika wa mafuriko watakao hamia hivi karibu katika eneo hilo jipya.
Posted by MROKI On Monday, January 09, 2012 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo