Nafasi Ya Matangazo

January 12, 2012



Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Kikwete akiongoza kikao cha Kamati Kuu ya CCM katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui, Zanzibar, leo. Wengine meza kuu Kushoto ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Rais wa Zanzibar Dk. Ali Mohammed Shein, Makamu Mwenyekiti wa CCM (Zanzibar) Amani Abeid Karume. na aliyesimama ni Katibu Mkuu wa CCM Wilson Mukama na kulia ni makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Pius Msekwa.
Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akiwa na Kamatibu wenzake wa NEC, kwenye kikao cha Kamati Kuu ya CCM, Afisi Kuu ya CCM, Kisiwandui mjini Zanzibar. Kushoto ni Katibu wa NEC, Uchumi na fedha Mwigulu Nchemba na kulia ni Katibu wa NEC, Siasa na Ushirikiano wa Kimataifa Januari Makamba.
Katibu Mkuu wa CCM, Wilson Mukama akimkaribisha \Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete kufungua kikao cha Kamati Kuu ya CCM mjini Zanzibar leo. Wengine meza kuu kushoto ni ni Mjumbe wa kamati Kuu ya CCM, Rais wa Zanzibar Dk. Ali Mohamed Sheni, Makamu Mwenyekiti wa CCM (Zanzibar) Amani Abeid Karume na kulia ni Mjumbe wa Kamati Kuu, Rais Mstaafu Ali Hassani Mwinyi na Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Pius Msekwa
Mwenyekiti Mstaafu wa CCM, Rais Mstaafu Benjamin Mkapa, mjumbe wa Kamati Kuu Rais wa zanzibar Dk. Sheni na Makamu |mwenyekiti wa CCM (Zanzibar), Dk. Amani Abeid Karume wakiwa kwenye kikao cha kamati kuu ya CCM mjini Zanzibar leo.
Posted by MROKI On Thursday, January 12, 2012 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo