Nafasi Ya Matangazo

January 12, 2012

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanznia, Jakaya Mrisho Kikwete (kushoto) na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein wakifurahia jambo wakati wa maadhimisho ya 42 ya Mapindizu ya Zanzibar yaliyofanyika hii leo Januari 12, 2012 katika uwanja wa michezo wa Amani Visiwani Zanzibar.
 Rais Kikwete akisalimiana na Mke wa Mwanamapinduzi ya Zanzibar, Hayati Amani Abeid Karu.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Rais Mstaafu wa awamu ya tatu, Benjamin Mkapa, wakati alipowasili kwenye Uwanja wa Aman mjini Zanzibar leo Januari 12, kwa ajili ya kuhudhuria sherehe za maadhimisho ya miaka 48 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Rais Mstaafu wa Zanzibar, Aman Abeid Karume, wakati alipowasili kwenye Uwanja wa Aman mjini Zanzibar leo Januari 12, kwa ajili ya kuhudhuria sherehe za maadhimisho ya miaka 48 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Idd, Mke wa Makamu wa Rais wa Jamhuri, Mama Zakhia Bilal, Rais Mstaafu wa awamu ya pili, Ali Hassan Mwinyi na Mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda, wakiwa katika sherehe hizo.
 Baadhi ya Viongozi wa Serikali wakiwa jukwaani Uwanja wa Amani katika Sherehe hizo.
 Rais wa Zanzibar, Dkt. Ali Mohamed Shein, akikagua gwaride maalum wakati wa maadhimisho ya sherehe za miaka 48 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
 Vijana wakipita kwa maandamano na mabango mbele ya Jukwaa Kuu.
 Vikosi vya Ulinzi na usalama vikipita mbele ya jukwaa kuu kutoa heshima mbele ya viongozi wa wakuu wa Serikali.
 Viongozi wakipokea heshima kutoka kwa Askari
 Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na makamu wa kwanza wa Rais Maalim Seif Shariff Hamad
 Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na Waziri Kiongozi Mstaafu Mh Ramadhani Haji Fakhi
 Msafara wa Rais Kikwete ukiingia Uwanjani
 Rais wa Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Rais Jakaya Kikwete, wakati alipowasili kwenye Uwanja wa Aman mjini Zanzibar leo Januari 12, kwa ajili ya kuhudhuria sherehe za maadhimisho ya miaka 48 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
 Rais wa Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Rais Mstaafu wa awamu ya tatu, Benjamin Mkapa, wakati alipowasili kwenye Uwanja wa Aman mjini Zanzibar leo Januari 12, kwa ajili ya kuhudhuria sherehe za maadhimisho ya miaka 48 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
 Viongozi
 Wananchi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Dkt. Ali Mohamed Shein, akiwa jukwaani akisalimia wananchi kwa kuwapungua mkono.
Posted by MROKI On Thursday, January 12, 2012 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo