Mhandisi wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) Issa Mohamed (kushoto) akimfafanulia moja ya vifaa vinavyotumika katika kupitisha Mkongo wa Mawasilino nchini Waziri Mkuu Mstaafu Frederiki Sumaye wakati alipotembelea maonesho hayo hivi karibuni katika Maonesho ya miaka 50 ya Uhuru yanayoendelea katika Viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam. Katikati ni Mhandisi mwingine Dominic Ngandama.
Mhandisi wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) Issa Mohamed akiendelea na ufafanuzi wake.
Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Simu Tanzania, Kam,ugisha Kazaura (kulia) akimsikiliza Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye wakati alipotembelea banda la Kampuni hiyo ya Simu Kongwe nchini katika Maonesho ya miaka 50 ya Uhuru yanayoendelea katika Viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam.
Maofisa wa Polisi nao walitembelea banda la TTCL na kupta maelezo juu ya huduma za kampuni hiyo tangu enzi hizo hadi hivi sasa na kasi inayotumia kuendana na mabadiliko ya kisasa ya Teknolojia ya Mawasiliano.
0 comments:
Post a Comment