Nafasi Ya Matangazo

December 10, 2011

 Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye (kushoto) akipokelewa na Ofisa Mtendaji Mkuu wa waka huo, Kapteni Keenan Mhaiki katika banda la TGFA lililopo katika maonesho ya Miaka 50 ya Uhuru yanayoendelea katika Viwanja vya maonesho vya Mwalimu. Julis Nyerere barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam. Sumaye alitembelea banda hilo juzi.
 Ofisa Mtendaji Mkuu wa waka huo, Kapteni Keenan Mhaiki (katikati) akitoa maelezo kwa waziri Mkuu Mstaafu Sumaye.
Sumaye akiondoka kwa furaha katika banda hilo la TGFA baada ya kupata maelezo ya kina.
Posted by MROKI On Saturday, December 10, 2011 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo