Mfugaji wa Kimasai kutoka Maeneo ya Merela Wilayani Mvomero mkoa wa Morogoro akisafirisha mifugo yake kwenda kutafuta malisho kama alivyokutwa na mpigapicha hii akiswaga mifugo hiyo katika kijiji cha Kipera. Ni kawaida ya wafugajhi hasa wamasai kuishi kwa kuhama hama kila wakati pindi eneo wanaloishi likikumbwa na ukame jambo ambalo husababisha kukosekana kwa majani na maji hulzaimika kuhamia eneo lingine.
November 11, 2011
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment