Hakika ni upendoo mpya uliochanua wakati Bwana Richard alipoamua kuwamwili mmoja na Bi Vivian na hatimaye kuwa Mke na Mume. Wawili hawa walifanya maamuzi hayo Oktoba 8, 2011 katika Kanisa Katoliki Ananasif Dar es Salaam na baade katika tafrija kubwa iliyofanyika katika ukumbi wa Estana. Mungu aibariki ndoa hii.
Photo:MD Digital Company
0 comments:
Post a Comment