Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha ikulu na kufanya mazungumzo na Naibu katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Dkt.Asha Rose Migiro jijini Dar es salaam leo asubuhi.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na Naibu katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Dkt.Asha Rose Migiro.
Posted by MROKI
On Friday, October 21, 2011
No comments
0 comments:
Post a Comment