Vijana wakazi wa Kijiji cha Kipera, Wilaya ya Mvomero Mkmoani Morogoro wakichana mbao ya mti waMzambarau kijini hapo kama walivyonaswa na camera yetu hivi karibuni. Miti mingi siku hizi imekuwaikichanwa mbao hasa kutokana na baadhi ya miti hiyi kukaa siku nyingi na kukomaa sana.
0 comments:
Post a Comment