Mkuu wa Deutsche Welle Kiswahili, Andrea Schmidt (kulia) akimkabidhi Halima Nyanza zawadi ya 'dubu wa Deutsche Welle', kama ishara ya kumbukumbu kwa utumishi wake uliotukuka katika Idhaa ya Kiswahili. Leo Halima Nyanza ameiaga rasmi Deutsche Welle baada ya kuifanyia kazi kwa miaka minne mfululizo.
Baada ya miaka minne ya kufanya kazi na Deutsche Welle, hatimaye leo hii Halima Nyanza (wa nne
mstari wa mbele) ameagana nasi rasmi hapa Idhaa ya Kiswahili, Bonn. Tunamtakia kila la kheri na fanaka katika maisha yake ya kikazi na kifamilia huko aendako. Hii ilikuwa Septemba 23,2011.
Daa Kaka!
ReplyDeleteHuyo MZUNGU wa mbele hapo ana MGUU mzuri!