Mkuu wa Mawasiliano wa Zantel, William Mpinga (kushoto), akifafanua jambo kwa waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana kuhusu udhamini wa kampuni yake katika Mkutano mkubwa wa masuala ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEKNOHAMA) ulioandaliwa na Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM) utakaofanyika jijini leo. Zaidi wa ya washiriki 100 kutoka ndani na nje ya nchi wanatarajiwa kuhudhuria mkutano huo. Katikati ni Mkuu wa Chuo hicho, Prof. Godwin Mjema na Kaimu Mkurugenzi wa Huduma za Kompyuta wa IFM, Jim Yonazi.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment