Nafasi Ya Matangazo

August 02, 2011

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal na mkewe Mama Asha Bilal, wakisikiliza maelezo kutoka kwa mwendeshaji wa mitambo ya kusukumia maji kwenda katika mashamba ya Zabibu, Aloyce Zakaria,  wakati walipofika Kijiji  cha Chilangali (ii) Wilaya ya Chamwino Mkoa wa Dodoma leo Agosti 02, 2011 kukagua mradi wa kilimo cha Zabibu (FUNE) katika shamba hilo lenye ukubwa wa hekari 300
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,  Dkt. Mohammed Gharib Bilal na mkewe Mama Asha Bilal, wakikagua miche ya mizabibu.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal na mkewe, Mama Asha Bilal,  wakisikiliza maelezo ya Mkulima wa Zabibu, Gulavile Chikamanjenzi (kulia) wakati walipowasili Kijiji  cha Chilangali II
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal na mkewe, Mama Asha Bilal, wakitoka kukagua mashamba ya zabibu.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal na mkewe, Mama Asha Bilal, wakiangalia Bwawa la kuhifadhia maji ya kumwagilia mashamba ya Zabibu.
Posted by MROKI On Tuesday, August 02, 2011 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo