Katibu Itikadi na Uenezi wa Halmashauri Kuu ya CCM, (NEC) CCM, Nape Nnauye akihutubia mkutano wa hadhara baada ya mapokezi ya msafara wake na Katibu wa NEC, Uchumi na Fedha Nchemba Mwigulu, kuwasili kwenye uwanja wa Laela A, Wilaya ya Sumbawanga mkoani Rukwa jana.
Watoto wakiwa wamemzunguka Nape baada ya kuhutubia mkutano wa hadhara katika mji mdogo wa Naela,
Sumbawanga mkoa wa Rukwa.
Nape akiteta jambo na Mbunge wa zamani wa jimbo la Nkwela, Chrisant Mzindakaya, wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika jana kwenye Uwanja wa Naela A, Sumbawanga mkoani Rukwa.
Daaa, CCM wakiishiwa wanahutubia watoto. Ama kweli mvuto umepotea
ReplyDelete