Nafasi Ya Matangazo

June 01, 2011

Waziri wa Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) ambaye pia ni Mbunge wa jimbo la Newala mkoani Mtwara,Capt. Geoge Huruma Mkuchika, akiongea na wakazi wa kijiji cha Maputi (hawapo pichani) alipokuwa katika ziara ya kuwashukuru wananchi kwa kumchagua kuwa mwakilishi wao hivi karibuni. Kulia ni Mewe Mama Mkuchika.
Posted by MROKI On Wednesday, June 01, 2011 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo