Nafasi Ya Matangazo

June 01, 2011

 Mwenyekiti wa Chama cha wenye Mabenki Tanzania na ambaye pia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC Tanzania, Lawrence Mafuru (kushoto) Mwenyekiti wa kampuni ya Serengeti Advisers, Balozi Ami Mpumbwe na Mfanyabiashara maarufu na mwanasiasa mkongwe, Iddi Simba akiwa katika uzinduzi Ripoti ya Hali za Kibenki kwa Mwaka 2011 jijini Dar es Salaam jana.
 Mwenyekiti wa Chama cha wenye Mabenki Tanzania na ambaye pia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC Tanzania, Lawrence Mafuru (kulia), akishikana mikono ya Mkuu wa Mawasiliano wa Benki ya Barclays Tanzania Kati Kerenge
Mwenyekiti wa Chama cha wenye Mabenki Tanzania na ambaye pia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC Tanzania, Lawrence Mafuru, akihutubia wakati akizindua rasmi ripoti ya Hali za Kibenki kwa Mwaka 2011 jijini Dar es Salaam jana. 
 Mshauri wa Mawasiliano wa Benki ya NBC Tanzania, Robi Matiko-Simba, Mkuu wa Masoko wa benki hiyo, Mwinda Kiula-Mfugale (katikati) na Mkuu wa Masoko wa benki ya Stanbic, Abdallah Singano (kulia) wakibadilishana mawazo
 Mshauri wa Masoko wa Benki ya NBC, Arden Kitomari (kushoto) akisalimiana na Mkuu wa Masoko wa Benki ya Stanbic, Abdallah Singano.
Ofisa Mtendaji Mkuu wa kampuni ya Tanzania Mortage Refinance, Rished Bade akishikana mikono na Mwenyekiti wa Chama cha wenye Mabenki Tanzania na ambaye pia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC Tanzania, Lawrence Mafuru.
Posted by MROKI On Wednesday, June 01, 2011 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo