Ama kweli waswahili waliosema "Mbuzi hanenepi siku ya Mnada" Hivi ndivyo usemi huu unavyodhihirishwa na Mwanafunzi huyu wa Open University of Tanzania (OUT), wanaofanya mitihani katika kituo cha Msimbazi, Dar es Salaam alivyokutwa akiwa ameuchapaa katika muda alioutenga kujisomea kabla ya kuingia chumba cha mtihani May 30 2011.
June 01, 2011
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Si ajabu alikesha usiku mzima. Afashaili ametumia muda wake kupumzima...It is not easy...I have been there...Wish her all the luck
ReplyDelete