Kada wa CCM, Shay-Rose Bhanji akikabidhi sh milioni moja kwa nahodha wa timu ya vijana wa CCM jimbo la Kinondoni, Jackson Zola baada ya kuibuka washindi kwenye fainali za mashindano ya soka kwa timu za vijana wa CCM kutoka katika majimbo 8 ya mkoa wa Dar es Salaam.Kulia ni Mwenyekiti wa UVCCM Wilaya ya Kinondoni Emmanuel Tamila Makene.
Fuba hilo vijana wakilishangilia.
0 comments:
Post a Comment