Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta jambo na msajili wa vyama vya siasa nchini John Tendwa mara baada ya kushuhudia uzindunzi wa mpango wa maendeleo wa miaka mitano 2011/12-2015/16 ulionziduliwa na Rais , Jakaya Kikwete katika ukumbi wa mikutano wa St. Gaspar mjini Dodoma leo.
0 comments:
Post a Comment