Bondia Mohamed Matibwa wa Matimbwa Boxing akitupa konde bila ya mafanikio kwa Ibrahimu Class wa Amana Boxing 'Class' alishinda kwa K.O raundi ya nne wakati wa mpambano wa kuhamasisha mchezo wa ngumi mkoa wa Ilala uliofanyika katika ukumbi wa Panandi Panandi Ilala Bungoni.
Bondia Yakubu Abdulhamani (kulia) akirusha makonde kwa mpinzani wake Halili Hamisi wa Matimbwa wakati wa mchezo wa kuamasisha ngumi mkoa wa ilala Dar es salaam leo Hamisi alishinda kwa point.
0 comments:
Post a Comment