Baadhi ya madiwani wa wilaya ya Temeke wakifuatilia kwa umakini majibu ya maswali yaliyokuwa yanajibiwa na Kaimu Mkurugenzi wa Manispaa hiyo Eng.Gaston Gasama (hayupo pichani) wakati wa kikao chao kilichofanyika leo katika ukumbi wa mikutano uliopo manispaa ya Temeke.
Madiwani wa wilaya ya Temeke wakiwa katika kikao chao leo kinachofanyika kila baada ya miezi katika ukumbi wa mikutano uliopo manispaa ya Temeke.
Kaimu Mkurugenzi wa Manispaa ya Temeke Eng.Gaston Gasama akijibu maswali ya madiwani wa wilaya hiyo wakati wa kikao cha baraza la madiwanikilichofanyika leo katika ukumbi wa mikutano uliopo manispaa ya Temeke. Kulia ni Mstahiki Meya wa Manispaa hiyo Maabad Hoja.
Baadhi ya wakuu wa Idara na Vitengo wa wilaya ya Temeke wakifuatilia kwa umakini majibu ya maswali yaliyokuwa yanajibiwa na Kaimu Mkurugenzi wa Manispaa hiyo Eng.Gaston Gasama wakati wa kikao chao kilichofanyika leo katika ukumbi wa mikutano uliopo manispaa ya Temeke.
0 comments:
Post a Comment