Nafasi Ya Matangazo

June 01, 2011

Mei 28, 2011, ni siku ya furaha sana na ya kukumbukwa katika maisha ya Bwana Lwaga Atupele Kibona na Bi. Akaunsia Gamalieli Muro ambao waliamua kufunga ndoa tajatifu katika Kanisa la KKKT Usharika wa Kijitonyama Dar es Salaam na baade katika tafrija iliyofanyika katika ukumbi wa Diamond Jubelee. Bwana harusi  ni Mfanyakazi wa Sirika la Petroli Tanzania (TPDC) wakati Bi Harusi ni Mfanyakazi wa Wizara ya Mwasiliano. 
 Bwana Harusi Lwaga Kibona akimvisha pete ya ukumbusho na alama ya ndoa yao Bi. Akaunsia Muro.
 Bwana na Bi Harusi katika picha ya pamoja na tenashara waliopamba harusi yao.
 Bi Harusi akiwa na warembo hao katika picha ya pamoja.
 Haopa sasa ilikuwa ni ukumbini wakigonganisha glass zao....
 Huu si mduara bali ni foleni hiyo ya gugonganisha glass ba maharusi kuwatakia heri.
 Jordan nae hakucheza mbali .....
 Keki ilikatwa na maharusi na kisha kugawiwa kwa kila mtu aile na kutia baraka zake.
 Bi. Harusi akikabidhi keki ikiwa ni ishara ya shukrani kwa wazazi wa Bwana harusi.
 Bwana harusi nae alitoa shukrani kwa wazaa chema..
 Mpango mzima ulikuwa ni wa uhakika...
 Bwana na Bi harusi walisoma Mzumbe na hawa ndo baadhi ya waliokuwa darasa moja nao walifika.
Wawakilishi kutoka Wizara ya Mawasiliano katika picha ya pamoja na maharusi.
Wafanyakazi wenzake na Bwana Harusi kutoka TPDC.
Photos by: MD Digital Company +255 755 373 999/0717002303
Posted by MROKI On Wednesday, June 01, 2011 1 comment

1 comment:

  1. Mroki hiyo picha ya 6 toka juu naweza kupata kontakts za huyo wa NNE toka kushoto? Daa!

    Amenitatisha kichizi wangu! Duuh!

    ReplyDelete

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo