Bodi ya wakurugenzi ya Miss Tourism Tanzania Organisation chini ya Mkiti wa bodi hiyo Erasto Gideon Chipungahelo,imetangaza wakurugenzi wa kamati ya taifa ,baada ya kuivunja ya zamani.
Kamati mpya ni
Erasto Gideon Chipungahelo (Rais),
Baruan Mhuza,
Godwin Gondwe,
Rehema Salim,
Pendael Omari,
Cliford Mario Ndimbo,
Yahaya Mohamed,
Noel Shani
na Tusiime Richard Buhembo.
Wajumbe wote na viongozi wengine wa kamati ya Taifa nyadhifa zao zilikoma 1-5-2011 na hawa husiki kwa lolote kuhusu mashindano ya Miss Utalii tanzania.Bodi itatangaza wakurugenzi wa kanda hivi karibuni baada ya kushauriana na kamati ya Taifa
0 comments:
Post a Comment