Nafasi Ya Matangazo

May 21, 2011

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mecky Sadiki (kulia) pamoja na baadhi ya viongozi,  wakiwa kwenye shughuli ya mazishi wa aliyekuwa mtabiri maarufu nchini, Sheikh Yahya, aliyefariki dunia jana jijini na anatarajia kuzikwa leo kwenye makaburi ya Tambaza.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal (kushoto) akijumuika na baadhi ya waumini wa dini ya kiislamu kuomba dua maalum kwa ajili ya marehemu Sheikh Yahya Husein, aliyefariki dunia jijini Dar es Salaam jana,dua hiyo ilifanyika nyumbani kwa marehemu Magomeni Mwembechai leo Mei 21. Maziko yatafanyika kwenye makaburi ya Tambaza leo.
Baadhi ya wanafunzi waliofundishwa na Marehemu Sheikh Yahya, wakiwa kwenye shughuli za mazishi nyumbani kwa marehemu Magomeni Mwembechai leo Mei 21.
Posted by MROKI On Saturday, May 21, 2011 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo