NBC wazindua rasmi tawi la benki ya hiyo Wilayani Kahama, Shinga.
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Brigedia Jenerali Mstaafu, Dk. Yohana Balele (kushoto) akipokewa na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC Tanzania, Lawrence Mafuru kabla ya kufungua rasmi tawi la benki hiyo, wilayani Kahama, Mkoani Shinyanga juzi. Katikati ni Meneja wa NBC Kanda ya Ziwa, Godhard Hunja.
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Brigedia Jenerali Mstaafu, Dk. Yohana Balele (kushoto) akipokewa na Meneja wa Tawi la NBC Kahama, Martin Nkanda, kabla ya hafla ya ufunguzi rasmi wa tawi la benki hiyo,
wilayani Kahama, Mkoani Shinyanga juzi. Wa pili kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa NBC, Lawrence Mafuru na Ofisa Mwendeshaji Mkuu wa NBC, Maharage Chande.
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Brigedia Jenerali Mstaafu, Dk. Yohana Balele akisalimiana na baadhi ya wafanyakazi wa Tawi la Benki ya NBC Kahama kabla ya hafla ya ufunguzi rasmi wa tawi hilo wilayani humo Mkoani Shinyanga juzi. Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa benki hiyo, Lawrence Mafuru.
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Brigedia Jenerali Mstaafu, Dk. Yohana Balele akikata utepe kuzindua rasmi tawi la benki ya NBC wilayani Kahama, Mkoani Shinyanga juzi. Katikati ni Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC Tanzania, Lawrence Mafuru.
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Brigedia Jenerali Mstaafu, Dk. Yohana Balele (katikati) akizungumza na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC, Lawrence Mafuru baada ya kuzindua rasmi tawi jipya la benki hiyi wilayani Kahama Mkoani Shinyanga juzi, Kushoto ni Meneja wa tawi hilo, Martin Nkanda.
Meneja wa Tawi la Benki ya NBC Kahama, Martin Nkanda (wa pili kushoto) akitoa maelezo kuhusu huduma zitolewazo katika tawi hilo kwa Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Brigedia Jenerali Mstaafu, Dk. Yohana Balele (katikati) baada mkuu wa mkoa huyo kufungua rasmi wa tawi hilo wilayani humo Mkoani Shinyanga juzi. Kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga, Meja Mstaafu Bahati Matala na kulia ni kurugenzi Mtendaji wa benki hiyo, Lawrence Mafuru.
Baadhi ya wageni waliohudhuria hafla ya uzinduzi rasmi wa tawi la benki ya NBC wilayani Kahama, Mkoani Shinyanga juzi.
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Brigedia Jenerali Mstaafu, Dk. Yohana Balele akihutubia wakati wa hafla ya uzinduzi rasmi wa tawi la benki ya NBC wilayani Kahama, Mkoani Shinyanga juzi. Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa benki hiyo, Lawrence Mafuru.
0 comments:
Post a Comment